vitendo vya mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Padri Kitima: Viongozi wa dini mkiendelea kukaa kimya juu ya matukio ya watu kuuawa maovu haya yataendelea nchi hii

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na wenzake, kuuawa kwa Mzee Kibao, awakemea wanaosema wasichanganye dini na siasa, awataka viongozi kujua...
  2. G

    Hivi kweli anachukizwa na vitendo vya mauaji na utekaji vinavyoendelea mjini?

    Amesema anasikitishwa sana na mauaji na utekaji. Swali ni alijiuliza, kama ni kweli ilikuwaje akaurudisha kwa kumteua mtu mwenye tuhuma za kuondoa haki za watu kuishi? Mtu ambaye taifa kubwa lenye vyombo na taasisi kubwa za ujasusi lilimpiga marufuku kuingia kwao kwa sababu ya tuhuma za kuua...
  3. Z

    Je, kuna ukweli kuhusu vitendo vya mauaji ya wototo na kukaribia kwa uchaguzi mkuu?

    Kuna wimbi la kuwauwa watoto wadogo na kisha kunyofoa viungo vyao, matukio hayo yamefanyika katika Jiji la DSM. Pia kuna tukio lilitokea huko Mkoani Kagera la kuuwawa mtoto mwenye ualbino! Kuna minong'ono kuwa vitendo hivi vinahusishwa na Uchaguzi mkuu na chaguzi za serikali ya mitaa. kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…