Hayo ameyasema Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Mbeya Cde. Patrick Mwalunenge katika Wilaya ya kilolo mkoani Iringa kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi wa chama cha mapinduzi wilaya, kata mpaka tawi kwa jumuiya zote.
"Mafunzo haya ya viongozi wa mitaa yanamaanisha hatua muhimu...