vitendo vya udhalilishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji

    Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili, wanaotoa huduma za mikopo kidijitali. Agosti 19 mwaka...
  2. LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na...
  3. Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto

    Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi ataongoza Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto. 12:00 Asubuhi. 19 Februari, 2023. [emoji625]Uwanja wa Hamburu Nungwi Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…