Mzee mwenye umri wa miaka 50 Mkazi wa Olgolai Kata ya Kiutu Arumeru Mzee Peniel maarufu kama (mzee my friend) anatuhumiwa kulawiti watoto 6 na wengine aliokua akiwachezea sehem zao za siri ambapo siku kadhaa zilizopita alitiwa mbaroni na polisi baada ya kukamatwa kwa kosa la kumlawiti mtoto wa...