vitenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  2. T

    Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

    Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba. Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini. Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale. Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini. Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa...
  3. M

    Karibu tufanye biashara ya vitenge Jumla na Rejareja. Mikoa yote Tanzania na nchi jirani.

    Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na...
  4. Msanii

    Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana safari ya kisiasa ya Samia na kuwatishia CCM

    Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila anayekiuka kwa makusudi au bahati mbaya maagizo ya Mola. Hapa duniani tunaelewa namna moto unavyoteketeza...
  5. L

    Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa haieleweki ni nani alishauri ,kuwashauri na kuwapa mawazo ya kishetani BAWACHA kuchoma vitenge hadharani.kitendo walichofanya BAWACHA na kuungwa mkono na chama kizima pasipo kukemewa wala kuonywa na kujitenga na kitendo kile cha kishetani ni laana kubwa sana...
  6. L

    UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

    Ndugu zangu Watanzania, Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika. Imelaani vikali sana na kwa...
  7. Mindyou

    BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

    Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini. BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Kwanini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira?

    Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge. Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira? Mara Daimond, mara Manara. Hii ni soka, sio sawa kuwavisha watu vitenge kwenye soka
  9. M

    Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

    Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani. UBAYA UBWELA
  10. covid 19

    Mpenzi wangu aliniacha sababu boksa zangu ni za vitenge!

    Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge.. Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana kipindi hiko nilikuwa fundi cherehani so vipannde vya vitenge vilivyokuwa vinabaki nilijitengenezea boksa...
  11. Yoda

    Vita ya Chalamila dhidi ya madanguro Dar ina viashiria vya ubaguzi

    Ukahaba mkoani Dar es Salaam na nchi hii kwa ujumla unafanyika kila mahali, sio katika madanguro ya Mwananyamala tu. Ukahaba unafanyika katika Lodges, Hoteli kubwa, maofisini kwa watu, katika magari na hadi nyumbani kwa watu. Kwanini vita vya ukahaba hapa Dar vimelenga madanguro tu ya aina ya...
  12. D

    Uzalendo sio kuvaa nguo zilizoshonwa kwa vitenge vya bendera ya Taifa

    Watu wengi tumekuwa katika fikra ya kwamba uzalendo ni kuwa tayari kuipigania nchi yako. Huo ndio ukweli lakini uzalendo pia unaambatana na mapenzi ya dhati kwa taifa lako. Mapenzi haya ndio watanzania wengi tunayakosa yaani hatuna uchungu na Taifa letu la Tanzania pamoja na rasilimali zake...
  13. benzemah

    TRA yapunguza kodi kuondoa magendo ya Vitenge

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepunguza kodi katika vitenge vinavyoingizwa nchini ili kutoa unafuu kwa wafanyabiashara. Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano kutoka TRA, Richard Kayombo alisema hayo wakati Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe alipotembelea mamlaka...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ijue biashara ya vitenge kutoka Kigoma. Fahamu namna ya kutambua Java na Wax feki utajirike

    Watu wengi hawajui kwanini biashara ya vitenge hutokea Kigoma, pia wengi hawafahamu wapi watapata Vitenge halisi na original, post hii yenye urefu itakufungua zaidi ili uweze kufahamu kwanini sisi watu wa Kigoma tunahusishwa na biashara ya vazi la Vitenge. Nifuate kwa umakini mimi mkali wako...
  15. MAPITO Mwanza

    Nahitaji kujua namna ya kuagiza vitenge toka Tunduma

    Kama kichwa Cha habali hapo juu nahitaji kujua namna ya kuagiza vitenge Toka tunduma kiukweli Sina uzoefu na hii biashara namuna ya kuupata Mzigo mpaka kuufikiaha dar na cost zake nitashukuru.
  16. Sky Eclat

    Maisha ya Kwamtogole, vitenge vinauzwa kipande kimoja

    Huku kwetu sabuni ya kufulia unapimiwa kwenye kikombe cha chai kama huwezi kununua ndoo au box zima. Vile vitenge vitatu vinavyouzwa Karume na Mnazi Mmoja huku vinauzwa kipande kimoja. Ukiweza kununua vyote vitatu sawa, ukiweza viwili sawa ukishindwa kabisa unanunua kipande kimoja. Kuku...
  17. John Haramba

    Polisi wamshikilia kijana kwa kuingiza vitenge, vijora Nchini kinyemela

    Mnamo tarehe 06.03.2022 majira ya saa 18:00 jioni, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Mtaa wa Mwanyanje – Uyole, Kata ya Uyole, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya na kufanikiwa kumkamata ABDUL MWAKALINGA [27] Dereva Tax, Mkazi wa Uyole akiwa na bidhaa zilizozuiliwa kuingizwa nchini...
  18. RWANTANG

    Picha za mishono mbalimbali ya vitenge

  19. Idugunde

    Wanawake wa kibongo wanapenda zawadi za vitenge

    Ukitaka mtoto wa kiTz akukubali kwa nguvu zote we mpige kitenge. Hasa lile wax la p3 hapo utakuwa umemuweza. Mbususu na mabusu utapewa kama yote. Sijajua kuna nini kwenye vitenge mpaka akina dada na akina mama wanakuvibali kwa namna hii.?
  20. M

    Habari nahitaji kuagiza vitenge Zambia utaratibu kwa anayefahamu naomba msaada wake

    Mimi nahitaji kufanya biashara kutoa vitu zambia kuleta tanzania (vitu kama vitenge). kwa anayefahamu utaratibu naomba msaada nijue cha kufanya.
Back
Top Bottom