Mwalimu Nyerere alijua kuwa kuna haja ya kuwa na mihimii mitatu ya Jamhuri. Akalijenga Taifa katika mihimili mitatu yaani Serikali, Mahakama na Bunge. Japo muundo wake haukuashiria uhuru wa 100% lakini angalao iliachwa kuwa huru.
Utawala wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete, uliendelea kuheshimu uhuru...