Wakuu,
Lissu hapa majuzi aliuliza imekuwaje CCM ina wabunge 6 zaidi huku chadema ikiwa na 1 kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalum, lakini pia Lissu huyu huyu alisema wabunge wa viti maalum wawe wanapewa muhula mmoja, akisema huo unatosha kufanya mtu ajipange na kujijenga kuwania nafasi hiyo...