viti maalum viondolewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Viti Maalumu Kwa CCM ni nafasi za watoto wa Viongozi na Ndugu zao , MTU anakua Mbunge mpaka Sasa miaka 20 Bungeni !!

    Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu. Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi?? Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!. Hata wa Makundi maalumu pia, Mbunge Keisha Kawa Mbunge zaidi ya miaka 10 , sijawah Msikia anachangia,,, ni kweli hamna...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Devotha Minja: Miaka mitano inatosha viti maalumu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati, Devotha Minja amesema ni sahihi kuweka utaratibu wa ukomo wa ubunge na udiwani wa viti maalumu. Devotha aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalumu amesema inapaswa kila baada ya muda fulani mwanamke ajengewe uwezo kwa kufikia...
  3. Yoda

    Pre GE2025 Lissu: Hatuhitaji tena ubunge wa viti maalumu, sio suala la ukomo tena, wanawake sasa wana uwezo

    Tundu Lissu pamoja na kupendekeza ukomo wa viongozi katika chama cha CHADEMA amependekeza suala la ukomo wa ubunge na udiwani, Viti maalum CHADEMA. Lissu anasema ubunge wa viti maalum ilikuwa kuwajengea uwezo wanawake wa kushiriki katika siasa lakini kwa ubovu wa katiba yetu haikuweka ukomo...
  4. Not_James_bond

    Je, kuna umuhimu wa kuwa na wabunge wa viti maalum?

    Katika karne ya sasa, ambapo dhana ya usawa wa kijinsia imepata msukumo mkubwa na kumekuwa na maendeleo makubwa katika kuhakikisha wanawake wanashiriki kikamilifu katika nyanja zote za maisha, suala la kuwa na wabunge wa viti maalum limeibua mjadala mkali. Ingawa mfumo wa viti maalum umeundwa...
  5. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Ni wakati wakufutilia mbali "Viti Maalumu ". Viongozi wachaguliwe based on Qualifications

    Ndio, Kama Taifa litashindwa ku anticipate mabadiliko yajayo ya Kidunia na ambayo yameanza hivi Sasa, basi tutakua Taifa la kijinga kuzidi ujinga wenyewe !!. Hivi Hawa Vitu maalumu Wana kazi gan?? Taifa linaingia Hasara Kwa sababu ya kijinga kabisa. Usawa usawa? Usawa ndio nini? Wabunge...
Back
Top Bottom