viti maalumu

  1. N

    Ubunge wa Viti maalumu na wa kuteuliwa ufutwe hauna tija yoyote

    Inasikitisha sana kuona nchi masikini kama hii bado inafuja hela za umma kwa kasi ya ajabu, nchi fukara isiyojiweza Vyeo hewa vimejazana mfano hai ni wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa na Rais, hawa watu hawana tija yoyote kwa Taifa zaidi ya kupewa mishahara ya bure tu, Nchi...
  2. Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
  3. P

    Wabunge19 Viti Maalum wanaojitambulisha kwa jina la CHADEMA washitakiwe

    Uongozi wa CHADEMA. Ni miezi 8 sasa tangu Wabunge wa Viti Maalum 19 kuwa Wabunge kwa mwavuli wa CHADEMA. Lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa CHADEMA. Naomba mtafute wanasheria wazuri wafungue mashitaka kwaniaba ya taasisi ya CHADEMA, sio tatizo wakishirikishwa Wananchi kuchangia kwa ajili ya...
  4. V

    Wabunge wa viti maalumu ni mzigo wa TAIFA

    Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
  5. J

    Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

    Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!! Haki gani wanayoidai hawa Chadema? Mbona...
  6. J

    John Mnyika: Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kupeleka wabunge wa viti maalumu bali kuchochea mageuzi ya Demokrasia

    Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini. Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Pia...
  7. K

    Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  8. Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  9. P

    Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

    Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali. Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
  10. N

    Tofauti ya Mbunge wa Jimbo, Viti Maalumu na wa Uteuzi wa Rais kimaslahi ni vipi?

    Hivi wabunge wa viti maalum nao maslahi yao ni sawa na wale wa Jimbo? So Bashiru na Polepole nao wanakamata shilingi milioni 11?
  11. J

    Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

    Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni? Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
  12. CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

    Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na...
  13. Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

    Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM. My Take 1. Demotion isikie tu kwa mwenzio 2. Malipo ni hapa hapa duniani
  14. Q

    TANZIA Tanzia: Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Umbulla(CCM) afariki dunia

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) afariki dunia Thursday January 21 2021 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia Januari 21, 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu. Martha Jachi Umbulla (amezaliwa 10 Novemba 1955) ni mwanasiasa...
  15. Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

    Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la Viti Maalum.
  16. Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  17. A

    Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

    Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe? Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
  18. J

    Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  19. J

    Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

    Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho. Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa viti Maalum kutoka CHADEMA umefuata Sheria na Katiba, hivyo hawapaswi kubugudhiwa. Awali Spika wa...
  20. S

    CHADEMA mnaweza kuwekwa mtegoni kwa kuingiziwa ruzuku itokanayo na Wabunge wa Viti Maalum msiowatambua

    Kwangu mimi huu naona unaweza kuwa ni mtego unaofuata kwa CHADEMA ambapo chama kinaweza kupewa ruzuku kwa kigezo cha kuwa na wabunge wa viti maalamu katika Bunge hili la sasa unless utaratibu unaotakiwa kufuata hauruhusu mbinu hii kutumika (unaweka mazingira magumu). Kwahiyo, kama ni swala la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…