viti maalumu

  1. Q

    BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

    Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu. Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu. “BAVICHA...
  2. B

    Makosa ya dola katika kuteua wagombea viti maalumu?

    Tukubali kwamba nchi au wanamikakati wa siasa za Tanzania waliopo Sasa wamekosa mikakati. Tukubali kwamba dola imekwama sehemu katika kuplan na kutekeleza mikakati yao. Tukubali kwamba wasomi waliokabidhiwa dhamana ya kutuongoza ikiwemo tume imekosa uzalendo na kujisimamia. Tukubali kwamba...
  3. Q

    Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

    Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa. Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
  4. S

    Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

    Ameandika hivi kupitia twitter: Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
  5. J

    Tuwe Wakweli: Kama Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu wasingeenda Bungeni ruzuku ingepungua sana chama kingeendeshwaje?

    Kwanza nawapongeza CHADEMA kwa kuwatendea haki Wanawake wa Tanzania kwa sababu viti vile ni mali yao siyo ya chama. Pili shughuli za uendeshaji wa chama zinahitaji fedha na wabunge 19 ni mtaji mzuri wa kutunisha mfuko wa ruzuku. Tatu na mwisho CHADEMA HQ msiwasikilixe hawa makamanda wanaopiga...
  6. J

    Je, maalim Seif akijiunga na GNU ya SMZ wabunge wa Chadema (viti maalumu) wataenda bungeni?

    Nauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo. Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na inshallah Mungu akipenda watajiunga. Je, Chadema nao watafuata nyayo kwa kuitikia...
  7. J

    Kwani wabunge wa viti maalumu CHADEMA huchaguliwa kwa utaratibu gani?

    Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli. Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa? Maendeleo hayana vyama!
  8. Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  9. N

    CHADEMA mkisusa kuteua Wabunge wa Viti Maalumu mtakuwa mmejimaliza wenyewe

    Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii. Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge. Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana...
  10. Ushauri wangu kwa CHADEMA na mbunge wao mmoja wa jimbo (Aida Khenan - Nkasi - Rukwa) na wale wa viti maalumu + madiwani

    Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa walishinda".. Natumia kauli ya " inadhaniwa walishinda", kwa maana nzuri kabisa.. Magufuli na CCM pamoja...
  11. S

    Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja. Kwa sababu hiyo, tarajieni kuona wale wale waliowadhulumu haki zenu wakigeuka wema kwenu na...
  12. J

    Endapo CHADEMA itawazuia Wabunge wa Viti Maalumu kwenda Bungeni hautakuwa ni unyanyasaji wa kijinsia?

    Nauliza tu kwa wale wabobezi wa masuala ya Haki za Binadamu kama itakuwa ni halali kwa viongozi wa CHADEMA kuwazuia Wabunge wake wa Viti Maalumu ( Wanawake) kwenda kuapishwa na kushiriki vikao vya Bunge. Iwapo CHADEMA itakuwa imepata 5% ya kura za jumla walizopigiwa wabunge wote basi...
  13. S

    Naomba kueleweshwa tofauti ya mbunge wa viti maalum na mbunge wa kuchaguliwa

    Na je maslahi yao yanatofautiana? Na kila chama kinatoa wabunge wangapi.
  14. S

    CCM hali mbaya huko Kusini. Mgombea ubunge apiga magoti huko LIWALE akiomba kura

    Jina lake sijalipata vizuri. Lkn bunge lililopita alikuwa mbunge viti maalumu mkoa wa Lindi kupitia Chadema. Mwezi June akafika bei na kuamua kuunga juhudi. Hivi sasa anaomba tena nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia CCM. Akiwa anaomba kura mbele ya Kassim Majaliwa ameona watu wako kiduchu na...
  15. Viti Maalumu Vijana Watoto wa matajiri waongoza

    Wajumbeeee! Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia. Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya...
  16. Uchaguzi 2020 CHADEMA inakuwaje mtu anagombea Kiti cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja?

    CHADEMA nakuwaje mtu anagombea viti vyote cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja? Mifano michache ni hii hapa Devota Minja na Grace Kiwelu MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI 1. Jimbo Idadi ya Wapiga kura 125 Kura zilizoharibika 6...
  17. M

    Uchaguzi 2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  18. Uchaguzi 2020 Songwe: TAKUKURU inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa kwa kugawa rushwa ili achaguliwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum

    Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono ili aweze kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe DAMAS SUTA...
  19. Mbunge wa viti maalumu CHADEMA, Sabriana Sungura ahamia CUF

    Mbunge wa Viti maalumu Kigoma, Sabriana Sungura ameambatana sambamba na aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wilfred Rwakatale kuhamia chama cha Wananchi CUF. Aidha, katika katika shamrashamra za Wabunge hao kupokelewa katika Chama cha CUF, Mh. Sabriana...
  20. J

    Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

    Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee. Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…