Siku zote sikuwahi kujua wala kufikiri kwamba idadi ya viti maalum vya wanawake bungeni inaweza kufikia hii, yaani viti 110, kwa ujinga wangu nilidhani ni chini ya viti 50.
Lakini viti maalum 110, yaani karibu nusu ya wabunge wa kuchaguliwa ambayo namo bado kuna wanawake, kuingia akina mama...