1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test)
Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake.
Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia...