vito

Vito is an Italian name that is derived from the Latin word "vita", meaning "life".
It is a modern form of the Latin name Vitus, meaning "life-giver," as in San Vito or Saint Vitus, the patron saint of dogs and a heroic figure in southern Italian folklore.There is also a Slavic name "Vitomir" that is shortened to "Vito", but has a different etymology.
The name "Vito" is sometimes confused with the German name "Wido," which is derived from Ancient Germanic.

View More On Wikipedia.org
  1. bezos2019

    Idadi ya Vito vya kina mama wakati wakujifungua picha ya maendeleo

    Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi. Namba baada ya jina la nchi ni Idadi hii ni ya Vifo vilivyotokea kati ya kila wanawake laki mmoja waliojifungua salama mwaka...
  2. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuwezesha Vifaa vya Uongezaji Thamani Madini ya Vito na Sonara kwa Vijana Wahitimu wa Kituo cha Jimolojia (TGC)

    SERIKALI KUWEZESHA VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA WAHITIMU WA KITUO CHA JIMOLOJIA (TGC) ● Ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT) ⚫️ Wizara ya Madini kuwapatia vifaa kwa lengo la kujiajiri ● Kuwajengea Uwezo wa masoko na...
  3. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Madini Kurejesha Minada ya Ndani na Kimataifa Madini ya Vito

    ● Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi ● Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania ● Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika ⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia kukuza biashara ya Tanzanite Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini inarudisha minada ya ndani ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Azindua Soko la Madini ya Vito na Dhahabu Tunduru

    RAIS SAMIA AZINDUA SOKO LA MADINI YA VITO NA DHAHABU TUNDURU -Ni soko la Madini la 43 nchi nzima -Apongeza ushiriki wa sekta binafsi -Waziri Mavunde aelezea ukuaji wa makusanyo ya maduhuli 📍Tunduru, Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua...
  5. GENTAMYCINE

    Mtumbwi wazama Ziwa Viktoria, mmoja afariki sita hwajulikani walipo

    Watu sita wanahofiwa kufa maji, huku mwili mmoja ukiopolewa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria. Watu hao walikuwa wakitoka kwenye harusi Kijiji cha Mwiruruma, kuelekea katika kitongoji cha Bulomba Kijiji cha Igundu wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Mkazi wa Kijiji...
  6. hmaloh

    Madini ya Moon Stone yanapatikana kwa wingi Morogoro, kama unaweza kujitosa changamkia fursa

    Hi, guys habari za weekend I hope mpo good kwa wale wenye changamoto zozote zile poleni sana ndugu zangu coz siku hazifanani. Bila yakupoteza muda ndugu zangu Mimi ni kijana fukara ambae mara nyingi napenda kukumbilia fursa zilipo so kuna jambo fulani ningependa kushare nanyi ndugu zangu kwa...
  7. Felix Mwakyembe

    Tuzo za MISA TAN ni vito kwa uhuru wa kujieleza nchini

    Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania, MISA TAN, imeanzisha tuzo maalumu kuwatunukia Watanzania wenye mchango ulio bayana katika uhuru wa kujieleza nchini. Tuzo hiyo itakuwa ikitolewa kila mwaka kwenye kongamano lake la kila mwaka ka Uchechemuzi wa Hali ya Uhuru wa Kujieleza...
  8. RaJhumoR

    Soko la Madini Dar Es Salaam ni hatari

    I hear a lot of talk kwamba Dar ni Soko la hatari sana kwenye sekta ya Madini! Je ni kweli ?
Back
Top Bottom