Wakuu,
Tupeane maujuzi hapa ya mambo ya kufanya na kutokufanya
Ukiahamia chumba kipya au nyumba mpya uzingatie nini?
Sasa msije mkasema "Uingie na boksa kinyume nyume"🤣🤣🤣🤣maana nimewahi kusikia kuna watu nishasikia lazima waweke kwanza vitu vyao kuua chochote kilichoachwa na aliyetoka sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.