Nasikia gunia la kitunguu saumu la debe tano linauzwa 500,000.
Hiki kitunguu hakina mbegu hivyo unapanda vile vipande vyake. Wanasema ekari moja inaweza kupanda gunia 16 hadi 28 za kilo mia kutegemeana na spacing. Hivyo utapanda vya Tsh 8m - 14m. Kinaweza kuzaa mara 5 hadi 8 ya gunia...