Serikali ikiendelea kupiga hatua dhidi ya uboreshaji wa elimu Tanzania mkoa wa mwanza unakabiliwa na changamoto wanafunzi kukaa mda mrefu kwenye vituo vya magari kwa kukosa kipaumbele mda wa jioni hasa kipindi cha mitihani ya taifa.
Adha hiyo hutokana na wanafunzi kutokupewa kipaumbele cha...