vituo vya redio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Redio za Tanzania ni vijiwe vya kahawa vilivochangamka na kulipana posho

    Redio naskiliza kwaajili ya kupata au kukusanya habari mpya ili niifatilie kwa umakini hyo habari maana redio zetu wamejaa mbumbumbu wengi mno hawajui lolote wao wanaropoka tu hawafanyi analysis kabla ya kuja kuongea na watu wengi. Hivi wanafikiri wasikilizaj wote ni wajinga kama wao? sio kwnye...
  2. May Day

    Kuwe na muwakilishi wa BAKITA kwenye vituo vya Redio

    Hakuna maana yoyote ya kijinadi kama taifa la Kiswahili kama kwenye vyombo vyetu vya habari vinakuwa na makosa mengi kwenye matamshi ya Kiswahili. Au la basi mmoja wa Watangazaji anayekidhi vigezo apate ithibati ya Baraza. Walau kwa vile vituo vya rediuo vyenye Wasikilizaji wengi. Kazi yake...
  3. benzemah

    Media zetu zinavyofunga akili zetu kwa minyororo ya michezo ya kubashiri

    Kwa kiasi kikubwa mambo tunayoyafahamu yanajengwa (Shaped) na yale tunayoyaona na kuyasikia na jinsi tunavyoona na kusikia zaidi ndivyo yanavyozidi kutukaa akilini na kuwa sehemu ya maisha yetu. Nilikuwa likizo siku za karibuni hivyo mara nyingi nyumbani nikiwa nafanya kazi ndogondogo nimekuwa...
  4. B

    Vipindi ya redio kugubikwa na matangazo ya kamari ni sawa?

    Hii nchi sasa tunakoelekea mi naona siko! Takriban radio zote zinachezesha kamari na ukifuatilia muda mwingi wa vipindi, niseme tu asilimia kubwa ya muda wao maudhui ni kamari. Je, tunajenga taifa la namna gani? Je, Serikali imeangalia inakuwaje hizi radio zinaruhusiwa kucheza kamari toka...
Back
Top Bottom