Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...