Karibu kwenye mzigo huu mpya kabisa,
By CK Allan
0746 266 267
Viumbe hatari... Dangerous creatures
1
Mwaka 2030
Sauti ya televisheni ilisikika,
nilikodoa macho kwa utulivu mkubwa nikiwa nimekunja miguu kama ilivyokuwa kawaida yangu, nilibonyeza bonyeza remote yangu ya kisimbuzi na nikavutiwa...