viungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simba yatambulisha Kocha Mpya wa Viungo

    Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.
  2. Kaburi lafukuliwa Mbeya, mwili wanyofolewa viungo

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawasaka watu waliohusika kufukua kaburi na kunyofoa baadhi ya viungo vya mwili wa Neema Enock (24) uliozikwa kwenye kaburi hilo wilayani Rungwe. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 8, 2022 Kamanda wa Polis Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio...
  3. Mwanza: Mwenyekiti wa CCM, Diwani, Afisa Mtendaji washikiliwa kwa tuhuma za mauaji kisa wizi wa mihogo

    David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo...
  4. Bocco anakaimu ualimu wa viungo Simba

    Kapten wa Simba John Bocco anakaimu majukumu ya Kocha wa Viungo tangu aondoke mwalim wa viungo. Hilo limekuja baada ya John Bocco kuhitu mafunzo ya ukocha wa awali ya viungo. Wachezaji wenzake wanafurahia mafunzo yake. Hii ni kwa wale waliokuwa wanauliza kwanini Bocco asiondoke Simba?
  5. Uganda: Bunge kujadili Muswada utakaoruhusu Upandikizaji Viungo vya Binadamu

    Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji wake. Gharama za upasuaji nje ya nchi ikiwa ndio chaguo pekee kwa sasa ni Tsh. Milioni 69.9 kiasi...
  6. B

    Simba hatuna kocha wa makipa kocha wa viungo kwa sasa

    SIMBA walivyo kaa kimya hatuna kocha wa Viungo, Kocha wa MAkipa je kwa hali hii tutatoboa mwezi oktba kweli tuna game hatari zinakuja mwezi wa KUMI. Me nawashauri VIONGOZI ZRANE kocha aliyeondokaga arudishwe hata kama yupo timu ya taifa ya maurtania si wavunje mktaba hukoooo
  7. Nigeria: Viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7000 vyakamatwa Uwanja wa Ndege

    Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong. Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16 na vilibainika baada ya kutoa harufu, na gharama yake imetajwa kuwa ni Dola 478,000 (Tsh. Bilioni...
  8. SoC02 Shajihisha wanawake na umuhimu wa mazoezi ya viungo

    Mwili wa binaadamu hujengwa kwa vyakula na lishe bora ya kiasili isiyo na kemikali ikiwemo kula mboga mboga, kunywa maji kwa wingi, kula matunda, kula vyakula visivyokua na mafuta mengi, kula vyakula visivyokua na sukari nyingi, mlo wenye mpangilio maalumu, kuachana na kupunguza vyakula vyenye...
  9. Haijawi tokea pair bora ya viungo kama hawa

    Xavi,Iniesta,Busquets
  10. Kumbe viungo (organs) vya nguruwe vinashabihiana na viungo vya binadamu !! 😱.

    Wakuu hii threads haihusiani na masuala ya imani za kidini, ni katika kujiuliza tu; ni kwanini Wanyama hususani jamii ya nyani ambao ndio tunashabihiana nao sana, hawatumiwi sana katika tafiti za tiba kwa ajili ya kupata viungo vya kupandikizwa watu wenye mahitaji ya viungo kama; figo, moyo...
  11. Tujikumbushe Viungo Wakabaji waliokuja na kuondoka Simba na kumuacha Jonas Mkude

    Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude. Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
  12. Suluhisho la magonjwa ya viungo na mifupa

    Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa umezidi miaka 50 na hasa wale wenye miili mikubwa. Nina uhakika kuwa umewaona akina mama wenye umri mkubwa na miili mikubwa wanavyopata shida kutembea huku wakiinama toka upande mmoja hadi mwingine kila wakipiga hatua...
  13. Kigoma: Watu 9 washikiliwa kwa kukutwa na viungo vya binadamu

    Watu tisa Wilayani Kakonko, Kigoma wanashikiliwa kwa kukutwa na viungo vya binadamu ikiwemo mbavu na mguu ambavyo vinadaiwa vilikuwa vikipelekwa Mwanza. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema: “Watuhumiwa walikamatwa katika kizuizi baada ya askari kutilia shaka gari lao T948...
  14. Serikali haikagui vyakula, kipi kinawazuia wenye migahawa kupika mizoga, mchele wa plastiki, viungo expired, mafuta ya transfoma / nguruwe, n.k

    -kuweka hamira kwenye wali -kupika nyama zilizokaa mda mrefu (kuna namna ya kukata harufu), -kupika mizoga (zipo tetesi kuku wanaotupwa hukaangwa na kuuzwa buku kipande) -viungo viungo viliyo expire kama mchuzi mix, royco na nazi za kwenye makopo. -kutumia mafuta ya transfoma ama ya nguruwe...
  15. Matibabu ya viungo na mifupa (ganzi, miguu kuwaka moto, joints na mgongo kuuma

    ELEWA TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI. Na Dr Gombeye...✍ KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa viungo vya mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu huitwa Peripheral Neuropathy. Matatizo haya ya...
  16. Nadharia mpya kuhusiana na matatizo fulani ya mfumo wa neva na kupelekea kupooza kwa viungo

    Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu. Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila sababu kubwa ya kueleweka japo kama ilivyo ada watu huamua kujiaminisha kwamba labda ni vikemikali/sumu...
  17. Ukosefu wa Mbinu za Kibiashara bado ni tatizo kwa Wakulima kufikia masoko Nchini

    WADAU wa uzalishaji wa mazao ya Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar wamesema ukosefu wa taaluma na mbinu sahihi za kibiashara bado ni kikwazo kikuu kinachokwamisha wakulima wengi nchini kushindwa kuyafikia masoko na kupelekea kukosekana kwa uhakika wa uendelevu wa biashara za mazao ya kilimo kwa...
  18. Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
  19. Tatizo la Biashara haramu ya binadamu na Viungo vyake kwa Tanzania na Afrika

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna watu zaidi ya milioni 45 ambao wametumbukizwa katika biashara hii inayoingiza kiasi cha dola bilioni 32 kwa mwaka, na hivyo, kuchuana kwa karibu sana na biashara haramu ya silaha na dawa za kulevya. Wanawake, na watoto wadogo ndio walengwa wakuu. Kundi hili la...
  20. TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…