viungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini kupata mtoto mwenye ulemavu wa akili, viungo, kipofu, bubu, kiziwi, n.k ni aibu na fedheha kwa wazazi wengi?

    Nasema hivi maana mambo ya aibu ndio huwa tuanakazania kuyaficha na ndivyo ilivyo kwa wazazi wenye hawa watoto huwa hawapendi watoto wao wenye ulemavu kujulikana ni watoto wao, wanawafungia majumbani huku wakijificha nyuma ya kivuli cha kuwalinda. yani mtoto anachukuliwa kama mzigo flani hivi...
  2. Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  3. Kuna faida gani kuzikwa na viungo ambavyo Kuna watu wanavihitaji? Iletwe sheria ya kuwapa incentives (motisha) watu wataovigawa wakifa.

    Sioni faida yoyote ya mtu kuzikwa na vium=ngo ambavyo kuna watu wanavitafuta kwa udi na uvumba ili kutibu matatizo yao. Sote tunajiuonea, uhaba wa viungo umefanya kuwepo kwa soko haramu kwa mfano makundi ya kigaidi kama Boko Haram hukamat watu na kuwanyofa viungo na kuviuza kwa bei ili...
  4. Don Castro kocha mpya wa viungo Simba

    Makolo wameendelea kutuletea vituko, na sasa wameleta zungu la unga, Don Castro kama kocha mpya wa viungo. Hawa jamaa lugha inaweza ikaja kuwa kikwazo kwao ukizingatia Makolo wengi elimu ndogo.
  5. K

    Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa kwanza anaijua kazi yake na nanaipenda pia ni mtoa hamasa kubwa nilikuwa namuona kwenye benchi la...
  6. Kwa kumbakiza Kocha Hitimana Simba SC na kumfukuza Kocha wa Viungo Zrane natamani leo tufungwe au 'tudroo' na Polisi Tanzania

    Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC. Hivi...
  7. Mbeya: Aliyemuua mkewe na kumnyofoa viungo ili apate utajiri ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe. Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio. Hakimu...
  8. Simbachawene umetukosea sana Graduate tunaouza chai na kutembeza viungo mabarabarani, pia tunaokula chakula cha mjomba, hiyo kazi tunaitaka sana

    Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza. Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo? Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
  9. Dodoma: Wanne mbaroni kwa kumuua ndugu yao na kumkata viungo

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma limewakamata ndugu wanne wa familia moja wanaotuhumiwa kumuua ndugu yao na kisha kumkata miguu yote miwili chini ya magoti na kuufunika mwili kwa mahindi yaliyopukuchuliwa na kuuchoma moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga alisema jana kuwa...
  10. SoC01 Wizara ya Afya iweke hiari ya kujitolea viungo vya mwili kisheria baada ya kufariki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya mmiliki wa mwili kufariki Ni hivi serikali kupitia wizara ya afya ipeleke muswada bungeni wa...
  11. Hatimaye Mtu aliyepooza ataweza kutumia smartphones au viungo vya roboti kwa akili zao

    Ukiwa unatembea, wenzako wanakimbia, ndivyo naweza kusema kwa lugha ya haraka kutokana na teknolojia inavyotupa picha kuwa siku moja binadamu ataweza kupika akiwa safarini au kupaa kwa kutumia mabawa (not as we see on movie) lakini kwa uwazi na kila mtu kununua na kutumia kifaa husika. Leo...
  12. Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kutokana na kuongezea kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve, aliyehoji...
  13. Biashara ya viungo vya chakula

    Habari, Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi? Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza
  14. Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

    Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi Kwamba mtu mwenye lips [emoji182] nene...
  15. Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…