vivuko vya wavuka kwa miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    KERO Zebra Crossing kufutika barabara kuu Morogoro -Dodoma Mamlaka zipo kimya kwanini?

    Zebra nyingi za mjini Barabara Kuu ya Morogoro - Dodoma nimeshangaa sana kwani zimefutika, mamlaka zipo kimya na hii hali imekua ya muda mrefu na hamna anayechukua hatua. Hatutarajii mpaka yatokee madhira kwa watu ndiyo mchukue hatua, mamlaka chukueni hatua sasa hivi inatia aibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…