vivutio vya utalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askari Polisi Wanawake wahamasisha Wananchi kutembelea Vivutio vya Utalii

    Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika hifadhi za taifa ambapo ameziomba Jamii za kifugaji ambazo zinaishi karibu na hifadhi kulinda na...
  2. songwe: vivutio vya utalii vinavyopatikana halmashauri ya wilaya ya Momba na sifa zake

    VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania. Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
  3. B

    Vivutio vya utalii 187 vyasajiliwa kwenye mfumo wa anwani za makazi (NaPA)

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (WHMTH) kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania-TANAPA, kupitia mradi wa Anwani za Makazi (NaPA) imefanikiwa kusajili anwani za makazi za vivutio vya utalii 187 na barabara zaidi ya 60...
  4. Picha za Rais Samia zimejaa njia nzima KIA badala kutangaza vivutio vya utalii!

    Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania. Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia. Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza...
  5. Ni muda muafaka kuongeza Vivutio vya Utalii

    MHE. FESTO SANGA - NI MUDA MUAFAKA KUONGEZA VIVUTIO VYA UTALII Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Richard Sanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa 'The Royal Tour' ambao umesaidia kuongeza watalii na kuweka rekodi ya kupokea...
  6. Pamoja na vivutio vya utalii, Rungwe hakuna hoteli ya maana

    Rungwe kuna:- 1. Hifadhi ya Misitu safu za Mlima Rungwe. 2. Safu za Milima ya Kipengele 'Livingstone Mountains' 3. Crater Lake Ngosi 4. Daraja la Mungu 'Lupoto' 5. Maporomoko ya maji na ya kipekee Kapologwe (Kisondela) 6. Ziwa Kisiba 7. Maporomoko ya maji Malasusa Kapiki (Nkunga) 8. Maji Moto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…