viwanda vidogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  2. Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  3. E

    Viwanda vipya vingi vinakaribia kuanza uzalishaji, Serikali itoe ushirikiano na kuvilinda

    Kuna viwanda zaidi ya 3000 eneo la kisarawe two soon vitaanza uzalishaji, Vikindu kuna viwanda zaidi ya 1000 vikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi, Kibaha kuna viwanda zaidi ya 500 vikiwa hatua ya mwisho ya ujenzi tayari kuanza uzalishaji. Niwakati sasa kwa serikali kuangalia labor force...
  4. Tumeshindwa matrekta, basi tujaribu vyerehani

    Sekta ya ushonaji wa nguo inafanya vizuri sana China karibu 50% ya uzalishaji wa nguo unafanyika China kupitia viwanda vidogo vidogo. Serikali na yenyewe ingesaidia sana kupunguza tatizo la ajira kama ingelianzisha somo la ushonaji Kwa elimu ya sekondari. Sekta ya ushonaji nguo ina faida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…