Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania.
Jumla ya viwanda 13, ambapo kati yake viwanda 2 vinaunganisha magari na viwanda 11 vinatengeneza matrela.
Ajira zilizotokana na uwepo wa viwanda 2 vya kuunganisha magari Nchini
Katika kiwanda cha GF Track kimetoa ajira 300 na kiwanda cha Saturn...