Kuna viwanda zaidi ya 3000 eneo la kisarawe two soon vitaanza uzalishaji, Vikindu kuna viwanda zaidi ya 1000 vikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi, Kibaha kuna viwanda zaidi ya 500 vikiwa hatua ya mwisho ya ujenzi tayari kuanza uzalishaji.
Niwakati sasa kwa serikali kuangalia labor force...
Wasalaam
Tanzania yetu kuja kujitegemea itachukua karne nyingi sana kwa sababu mamlaka za kiserikali za kusimamia makusanya ya kodi zimefeli na hazina ubunifu.
Kwa mfano hapa Dar wanaosumbuliwa kulipa kodi ni wafanyabiashara wenye vifrem na maduka ili hali kuna viwanda vingi bubu visivyo na...
Hivi viwanda vipo Iringa na Njombe. Wanakata milingoti sana na wanaharibu mazingira. Wafanyakazi hatuna mikataba anakufukuza muda wowote kwa chochote.
Assume wazee wetu walipanda miti ili watoto tufaidike, anafaidika mchina.
Kwa siku kiwanda kimoja wanaweza kata miti zaidi ya 400 na viwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.