Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe...
Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
Kama unapenda vitu vya kipekee na ubunifu uliotukuka, kamwe huwezi kukutana na kazi hizi kisha ukaacha kutia neno.. Hapa ni ubunifu, usanifu na uchongaji uliotukuka... Siishi kuzitamani hizi kazi... Mbao tupu tena halisi hakuna plastic hata moja
Sharing is caring...❤🎀👌🏿
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Utalii aone uwezekano wa kupitia Kanuni za Fidia kwa wanaothiriwa na Wanyama kuvamia mashamba, wakati huohuo amesisitiza Serikali inaendelea kutafuta mbinu mbalimbali za kuwazuia Wanyama kufanya uharibifu huo.
Ameyasema hayo leo Februari 24, 2025...
Habari Member wa Jf
Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango
( Metrology and Standardization)
Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing;
Pia nina uzoefu katika field zifuatazo
-Calibration of measuring...
Nashaangaa mpaka sasa viongozi simba hawaoni.Nimeandika nyuzi nyingi za kuhusu fadlu na kuja kuua vipaji..
Sasa uwezo wa Chares Auwa, Balua na Kijili unashuka sana. Ata ateba sio alivyokuja
Hadi Mavambo kocha anasema eti jitumi.
Viongozi Simba oneeni huruma fedha za Mooo.
Kama hamuwezi...
Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu ambao huwaandikia hukumu, na wengine huwakodia mpaka vyumba vya hotel weekend wakafanye kazi hiyo...
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated
Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa mabilioni ya walipa kodi kiroho safi tu? Tuna maprofesa wa sheria wanapoongea hadi wanatoa macho yanataka...
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.
Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani.
Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu
Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
Sina uhakika kama Kikwete alikuwa na ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mwinyi alipomteua kuwa Mbunge na Waziri, alimfuata na kumwomba amwondolee uwaziri amwachie ubunge. Badala ya Mwinyi kulipokea ombi lake, alimtia moyo kwamba yeye ni kijana mwenye akili hivyo ataimudu hiyo nafasi...
JOEX MOTORS TANZANIA LTD, ni kampuni tanzu kutoka Joex Holding Group, sisi ni waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan na Europe, tunaagiza, na kuuza magari yenye auction grade ya kuanzia 4.0 na kuendelea mbele
Kwetu kabla ya kumuagizia mteja gari, tutamshauri, tutamsaidia kumfanyia...
Habari Wakuu,
Kumekuwa na Ofisi mbalimbali zilizopewa vibali vya kuuza madawa ya kuongeza maumbile (Uume kwa Wanaume) na Shepu kwa wanawake. Ofisi hizo zimekuwa huru na zinajitangaza hadharani sambamba na kusifia huduma zao.
Nimewauliza wataalamu wa Afya kadhaa wanadai hakuna dawa...
Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini?
1. Ukiritimba?
2. Usimamizi mbovu?
3. Poor project planning?
4. Ukosefu wa fedha?
Naomba wajuzi wa...
Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya
Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ?
Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu kila wakati na kukutumikisha kama mtumwa,
siku ukizipata anajileta kama mzazi sasa na yeye anaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.