viwanja halmashauri kigamboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

    Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3? Upimaji usiwe Kwa foot Tuseme mfano Kwa 20m Kwa 20m Kwa kuanzia. Kigezo eneo lolote ila iwe ndani ya Dar Wajuzi mtujuze📌
  2. E

    Waziri wa ardhi, tulilipia viwanja mwaka 2023 manispaa ya Kigamboni mpaka sasa bado hatujapewa hata kuviona. Je, hii ni sawa?

    Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi. Masikini mimi nilibahatika kupata fomu ya kiwanja kidogo, kulingana na kipato changu. Kwa bahati nzuri...
Back
Top Bottom