Eneo: Kibaha Muheza, mpakani na Kibamba Hondogo – Kwa Kong'wa.
Ukubwa: Mita 27 × 37
Bei: TSh Milioni 13.5 (Mazungumzo kidogo)
Faida za Kiwanja:
1. Kiwanja ni tambarare sana.
2. Umeme upo, unashusha waya tu.
3. Maji ya DAWASCO yanapatikana.
4. Gari linafika hadi site wakati wa masika na...