Habari wana Kaskazini
Kwa mahitaji ya kununua na kumiliki viwanja tajwa hapo juu vvilivyopimwa na vina hati kamili toka mamlaka husika. Kwa miji ya Arusha na Moshi. Na viunga vyake.
Viwanja vina ukubwa wa 20kwa20, 20kwa30 n.k. Au ukitaka kuanzia hekari na kuendelea unapata kwa gharama nafuu...