Viwanja mbalimbali kwenye mikoa Tanzania na maeneo ya muhimu yanamilikiwa na CCM kitu ambacho kinatilia mashaka Kwa utawala wa nyuma ambapo Nchi ilikua hauwezi hata kujenga viwanja vya mpira CCM walitoa wapi pesa kujenga viwanja hivi?
Viwanja hivi vinaifanya serikali kutokuwajibika kuwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.