viwanja vya mpira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chizcom

    Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu sababu wote mnatumia uwanja mmoja

    Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua Simba na Yanga. Ila yote kwa yote ni kwamba Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
  2. U

    Kufungiwa viwanja vya mpira Tanzania

    TFF imeendelea kuvifungia viwanja ambavyo havina sifa mfano: Al Hassn Mwinyi, Kirumba na Jamhuri Dodoma. Nashauri tena, viwanja vya CCM virudishwe serikalini, vikarabatiwe na visimamiwe na halmashauri vilipo viwanja ili kukuza soka na kuwasahaulisha Watanzania. Kuna kipindi serikali ilisema...
Back
Top Bottom