viwanja vya ndege tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yashinda Tuzo ya Ubora katika Usalama

    Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa Usalama Afrika kwa mwaka 2024. Tuzo hii imetolewa na Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (Airport...
  2. J

    Sheria kuipa nguvu zaidi TAA kusimamia viwanja vyote vya ndege

    Bunge limepitisha muswada unaoanzisha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ambayo sasa sasa itakuwa na jukumu la kusimamia viwanja vyote vya ndege hata vile vidogo ‘airstrip’. Muswada huo uliopitishwa na Bunge jana Agosti 28, 2024 ukisubiri kutiwa saini na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa...
  3. M

    Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu vya ndege utatamani kulia machozi

    Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu. Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache...
  4. Bia Ya Moto

    Uzi Maalum kuhusu Huduma Bora/Changamoto/Kero tunazokumbana nazo Wadau/Wasafiri tunaotumia Viwanja vya Ndege

    Huu ni uzi maalum kwaajili ya Wadau/Wasafiri tunaotumia Viwanja vya Ndege Nchini vilivyopo chini ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA). Zipo huduma nzuri,kero na changamoto tunazozipata Wadau/Wasafiri tunaotumia Viwanja hivi vyenye hadhi ya Kimataifa. Tuwape Maua yao Watendaji wa...
Back
Top Bottom