Kwako kichele CAG
Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
Babati. Wimbi la wadudu waharibifu wa mazao maarufu kama “mbirizi” limevamia mashamba ya mahindi ya wakulima katika kata ya Kiru na vijiji vya jirani wilayani Babati mkoani Manyara.
Mkulima wa mahindi kutoka kijiji cha Kiru, Six Salao akizungumza leo Jumanne Desemba 27, 2022, amesema makundi...
Nimesafiri Kanda ya kusini na Central Corridor nimejionea wale vipepeo weupe wa kutaga viwavi wengi mno hii inaashiria patakuwa na viwavi jeshi wengi hivyo wakulima tegemeeni kukutana na kadhia hiyo labda tu mvua inyeshe kwa wingi ili mayai ya viwavi yaharibiwe.
SEKTA YA AFYA YAVAMIWA NA “VIWAVI JESHI”
Kila binadamu anahitaji kuwa na afya njema ili aweze kuishi maisha marefu yenye furaha na fanaka. Afya maana yake ni hali ya kutokuwa na ugonjwa kimwili, kiakili, kiroho na kijamii.
Wizara ya afya ndio pekee iliyopewa jukumu la kusimamia afya za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.