Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza.
Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa.
Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka...
Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani.
Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia...
Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya.
Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66.
Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani.
Katika Ripoti ya...
Wakuu Chama kimeniteua kwenda kusomea mishe za mambo ya Kura naenda kusomea Sofia University vast. Klimenti Ohridiski, Bulgaria Sasa Hawa jamaa Wana ubalozi hapa nchini? Kozi inaanza Agosti. Msaada tafadhali
Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ.
Kabla ya hatua hiyo, Rais wa Uganda, Museveni alipuuzia maoni na matakwa ya baadhi ya Nchi za Magharibi...
Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha zilizoashiria aina tofauti za unyanyasaji ikiwemo kubakwa na kufanyiwa ukatili na waajiri wao
Afisa wa...
Uingereza imetangaza visa vya kazi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu bora zaidi duniani katika upanuzi wa mfumo wake wa uhamiaji, ambao umeundwa kuvutia wafanyakazi lakini hakuna vyuo vikuu vya Kiafrika vilivyojumuishwa katika orodha ya taasisi zinazostahiki.
Chini ya mpango uliotangazwa Mei 30...
Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza
Baada ya Serekali ya Tanzania kuzindua mpango wake mpya wa kuanza kutoa Pasipoti za Kielektroniki, ili kuboresha usalama zaidi katika nyaraka zakusafiria, Pasipoti hizo hutumia chip ambayo huongeza usalama.
Soma pia:
Visa free countries for...
Wana Jf nilisikia taarifa kuwa kuna nchi 68 ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaingia bila viza ila sijapata orodha ni zipi?
Mwenye orodha aweke hapa nataka niuze vi asset vyangu vyote niangalie ka nchi kenye afadhali nikaanze maisha mengine,maana nchi inamilikiwa na mtu mmoja tu na genge...
Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia.
Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu.
Katika taarifa...
Wakuu habarini?
Kwa waliowahi kwenda Dubai from Tanzania utaratibu wa visa uko vipi? embassy wamesema hawatoi ila diplomatic visa pekee, sasa naweza kukata mwenyewe online? Au lazima nitumie travel agencies? waiting time? processing time?
Naombeni mnijuze
Wanabodi,
Nina Ndugu ambaye yuko serikalini (Paspoti ya Utumishi) na alikuwa na VISA ya miaka 5 ya kuingia Marekani. Wiki iliyopita pamoja na Mkewe waliondoka kwenda Marekani kuwaona watoto wao wanaosoma kule, lakini bahati mbaya pamoja na watanzania wengine wawili, wakiwa uwanja wa Chicago...
Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema...
Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
Haina haja ya kulialia sana hata waziri Jafo alisema figisu katika chaguzi ni vitu vya kawaida sana hata Israel na Marekani vipo cha muhimu ni vyama vya upinzani kuonyesha ukomavu na kujiongeza kama walivyofanya Renamo au Unita
Wapinzani wanadeka sana juzi katekwa kiongozi wao huko hai na...
Katika Pitapita zangu Nimekutana na Hii.... (Bofya Kusikiliza)'Uvumi kuhusu Viza ya Kuingia Nchini Marekani'
Hawa Maafisa wa Marekani ' wamegegedua' Baadhi ya Uvumi juu ya Upatikanaji wa Viza ya kuingia kwa Trump ...na kufafanua njia sahihi ya kupata Viza hizo kwa wanaohitaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.