Zoezi la ugawaji wa vizimba kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni umezua sintofahamu baada ya baadhi ya wafanyabiashara kudai kutoorodheshwa kwenye majina ya wanaostahili kupewa vizimba .
Soko hilo ambalo ni moja ya soko makubwa ndani ya manispaa ya Moshi ,liliungua mwaka Jana na kuleta hasara...
Ziwa Victoria lina umri wa takribani miaka 400,000 na ujazo wake wa kawaida ni kilomita za ujazo 2,760 (2,760 cubic kilometres).
Mvua za mwaka jana ziliongeza ujazo wa maji ndani ya bonde la Ziwa Victoria lenye ukubwa kilomita za miraba 195,000 (195,000 square kilometres). Lilikuwa ongezeko la...
Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi 2024 Jumla ya vizimba 222 vilitolewa kwa wananchi 1,213 ambao wanatokana na vyama vya ushirika 17, vikundi 31 na watu binafsi wawili (2).
Maeneo 39 yanayofaa kwa ufugaji samaki kwa vizimba...
TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (sabasaba)
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Latifa Khamis leo tarehe 22 Juni, 2023 amepokea udhamini wa viti, meza na vizimba 170 vya...
Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao.
Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
Mafundi wakijenga Kizimba ndani ya Bwawa la Nzivi, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya ufugaji samaki
Uwekezaji mkubwa wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba imetajwa kuwa ni fursa kubwa ya uwekezaji katika Bwawa la Nzivi wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
Hatua ya uwekezaji huo mkubwa...
Ipo haja Kwa Serikali yetu tukufu kujenga soko la kisasa Karume litakalojumuisha, vizimba, stoo, maeneo ya mama lishe
Kwa hesabu maalumu ili kukidhi haja za wafanyabiashara wote waliokuwepo hapo, vizimba vyote viwe na namba maalum za utambulisho ili kila muhitaji apatiwe kwa namba maalum...
Ni patashika. Ndivyo unavyoweza kuelezea mvutano kati ya wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza na mamlaka ya Jiji hilo baada ya wafanyabiashara hao kuandamana leo Jumamosi Oktoba 23,2021 na kufunga barabara ya Nyerere eneo ya Voil kushinikiza kupewa vizimba kwenye maeneo rasmi.
Kundi la...
Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni njia rahisi na yenye tija kwa wafugaji samaki kibiashara. Nitakuelezea hapa hatua na gharama zake na mambo mengine ya kuzingatia.
1.Vibali vya uendashaji wa shuguli za ukuzaji viumbe hai majini
I)Mhutasari wa kikao cha serikali ya kijiji au mtaa ambapo mradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.