Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel.
Uamuzi...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea utaratibu wa uwekaji wa Vizuizi na vituo vya ukaguzi barabarani bila kuzingazia tahadhari ya usalama kwa watumiaji wengine wa barabara.
Waziri Mkuu amekemea utaratibu unaofanywa na baadhi ya Halmashauri kuweka vizuizi na vituo vya ukaguzi kwa kuziba...
Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa.
Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yetu.Na pia Ni Maono na kiu ya Mh Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi, Uzalishaji, Unafuu wa bidhaa na kuokoa fedha nyingi za kigeni zinazotumika katika uagizaji toka nje...
Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye jeshi la Polisi limo ndani yake anaonekana kufeli pakubwa na so far Mama Samia anamvutia pumzi.
Waziri Masauni, ama kwa kujua ama kutokujua kuna makosa makubwa sana anayofanya. Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya ajali iliyohusisha gari aina ya Fuso (T 861...
Baadhi ya Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameunga mkono na kujipanga kutekeleza ushauri wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuachana na mifumo ya kuzuia bidhaa na biashara mipakani.
Wakati wa ufunguzi wa Mutano wa 23 wa Wakuu wa Nchi za EAC, Rais Samia alishauri...
Hivi karibuni, Japan ilianza kumwaga maji taka ya nyuklia baharini kutokea kituo cha nyuklia cha Fukushima. Hatua hii ya Japan imelalamikiwa sana na Wajapan wenyewe pamoja na jamii ya kimataifa, lakini serikali ya Japan imeamua kuziba masikio na kuendelea na kitendo hicho ambacho ni hatari si tu...
Serikali ya Marekani imesema inafikiria kuongeza muda wa vizuizi vya uuzaji nje wa bidhaa za chip kwa China vilivyoanza mwezi Oktoba mwaka jana, ikiwa ni juhudi zaidi za kudhoofisha maendeleo ya sekta ya akili bandia ya China. Gazeti la "the New York Times" limechapisha makala ikisema hatua hii...
Habari za wakati huu ndugu zangu.! Naamini kila mmoja yu salama akiendelea na harakati za maisha, kwa wale wenye changamoto kadha wa kadha za kimaisha basi Mungu akakutetee.
Leo nimependa kukushirikisha baadhi ya vizuizi vinavyomfanya mtu ashindwe kuoa au kuolewa kwa wakati kwa mujibu wa...
Tarehe 1 Machi mwaka 2022, walemavu 50 walitembelea Bustani ya Olimpiki ya Beijing. Bustani hiyo imeweka vifaa 186 visivyo na vizuizi kwa walemavu kwenye maeneo yote ya umma, ili kuboresha huduma kwa watu hao maalumu.
Norway imesema inaondoa vizuizi vyote vya kupambana na janga la COVID 19, kwa sababu haioni kitisho kikubwa cha afya kwa raia wake kutokana na janga hilo, licha ya kwamba kirusi cha Omicron bado kinasambaa nchini humo.
Waziri Mkuu wa Norway Jonas Gahr Stoere amesema huu ni muda waliousubiri kwa...
Ujerumani hii leo imetangaza idadi ya juu kabisa ya maambukizi ya virusi vya corona wakati ikipambana na wimbi la nne la maambukizi lililoibuka tangu mwishoni mwa mwezi Oktoba.
Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza nchini Ujerumani ya Robert Koch imesema leo kwamba imerekodi visa vipya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul.
Pia limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya sasa kushinikiza maambukizo ya COVID19. Imeelezwa, upimaji...
Wenzetu Ufaransa wanaanza rasmi kuwabana wananchi wale ambao wamekataa kuchanjwa chanjo za Uviko19.
Restriction hizo ni pamoja na kuzuiwa kuingia kula kwenye migahawa, kupanda usafiri wa kwenda na kurudi kazini, kuingia kwenye ofisi yoyote kupata huduma ikiwa ni pamoja na benk, hospitali nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.