Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri.
Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya!
Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na...