Naenda kwenye mada moja kwa moja!
Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu.
Moja hamna mkataba wa maandishi kati yako na wao. Hii itakufanya wewe kushindwa kupeleka malalamiko yako mbele ya sheria pale...