Kwenye hizo audio mbili yasemekana Serikali inaidai kampuni ya Vodacom "tozo" au "kodi" kutokana na fedha zinazowekwa na wateja wake kwenye AKAUNTI ya M-Koba.
Kuna hatari Akaunti hii inaweza kusimamishwa hadi Vodacom walipe hayo mabilioni wanayodaiwa, hivyo kuathiri fedha za vikundi...