The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.
Naaaam..!
Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi.
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
USHINDI wa 4-1 waliopata Simba dhidi ya Mbeya City unawafanya klabu hiyo kuhitaji pointi nnetu ili wawe mabingwa wa Ligi Kuu Bara.
Mabao ya Rally Bwalya, Luis Miquissone, John Bocco na Clatous Chama yalitosha kuwafanya mashabiki wa Simba kuweka imani ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Simba...
Patashika ya Ligi Kuu Kuendelea kupigwa leo Juni 22 2021, ambapo Mabingwa wa Nchi wanawakabili Mbeya City Uwanja wa Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam.
Mchezo huu unatarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu ikihitaji alama tatu muhimu ili kuweza kujiweka sawa...
Match kama ya leo itusaidie kupandisha wafungaji wetu wafikishe bao nyingi. Huyu kipa wa Mwadui tunamfahamu vizuri sana.
Naomba tutumie nafasi hii kupata ushindi wa kishindo.
===========
21' Goaaal, Yanga wanauweka ubao sawa, Yanga 1-1 Mwadui
28' Yanga wanapata mpira wa adhabu ndogo nje...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara VPL Kuendelea kupigwa leo Juni 19, 2021 ambapo Polisi Tanzania wanawakabili Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jiji Mwanza.
Kocha Msaidizi wa Polisi Tanzania George Mketo, amesema wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Juni 3, 2021 ambapo Ruvu Shooting wanawakabili na Simba SC kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Simba SC anaingia kwenye dimba akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza kwa bao moja kwa bila dhidi ya Ruvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.