Waafrika alieturoga alituweza sana.
Mwaka jana Vodacom ikateua raia mwanamama mmoja kutoka Kenya kuja kua mkurugenzi wake, maneno yakawa maneno kua kwani tumekosa mtanzania wa kushika hizo nafasi na mambo kede kede, serikali ikamnyima kibali cha kazi. Dada wa watu akaendelea na maisha yake huko...