Mlima ni moja kati ya sehemu zinazovutia kutazama, haswa kama unatazama kwa mara yako ya kwanza. Lakini kama ulishawahi kuuona mlima fulani au milima kadhaa, kwa namna ambayo inaitwa karibu kila siku, hata mlima unakua tu ni moja ya sehemu za mandhari. Yaani Mlima... ni mlima...ni mlima tu...