Wakenya wanajua sana mambo ya Votting block, kura zinapigwa kwa Block, ikiamuliwa jamani sisi tumpee kura zetu fulani kweli anapewa kwa asilimia nyingi sana.
Wakenya wana kitu wanaita Votting Block, hizi ni Block za Makabila na hii ina nguvu sana Kenya, Wakenya hasa Makabila ya Kenya ukiteua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.