Wakuu,
Ni mimi tu nime-notice kuwa kipindi ha Uchaguzi wa CHADEMA na baada ya Lissu kushinda spidi ya Intaneti imekuwa slow sana.
Ku-access imekuwa ni ngumu na siku hiyo ambayo mkutano mkuu wa CHADEMA ulikuwa unaendelea ilikuwa ni shida sana kuweza ku-stream tukio hilo.
Nakumbuka the same...
Wananchi wenzangu hili lilijidhihirisha wakati wa uchaguzi wa mwaka 2020, lilijidhihirisha wakati wa maandamano ya Kenya (labda Ili Gen Z wa huku wasiige tabia mbaya), wakati wa vuguvugu la msiba wa Kibao.
Wakati wa yale maandamano baadhi ya hotuba na jana nimeona tena hali hiyo ambayo mpaka...
Wakuu salam kwenu,
Tumeshuhudia kwenye Uchaguzi wa 2015 JF ilivyopigwa na kitu kizito kwenye suala la mtandao na hivyo kuzuia wananchi kupata taarifa.
Tulishuhudia hilo pia kwenye uchaguzi wa 2020 jinsi mtandao ulivyochezewa na 'jini' ikawa changamoto kupata taarifa na wale ambao biashara zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.