vuguvugu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mbinguni

    Siasa ya vyama versus vuguvugu la wananchi.

    Siasa ya vyama vingi kwa Tanzania ina umri wa miaka 33 sasa tangu virudishwe rasmi mnamo mwaka 1992. Siasa hizi zimepitia chamngamoto nyingi ndani ya mfumo na sheria na mazingira kandamizi ya chama kimoja tawala kilichohodhi mamlaka kwa zaidi ya miaka 45 sasa. Pamoja na yote,kunaonekana kuna...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  3. J

    Je Kanisa la Sasa ni Moto au ni Vuguvugu kama Kanisa la Laodikia ?

    Je Kanisa la Sasa ni Moto au ni Vuguvugu kama Kanisa la Laodikia ? Kanisa la Laodikia ni nini Kwanza hebu tujikumbushe historia ya yale makanisa saba, tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo, Aya ya 2 na ya 3. Makanisa saba tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo ni makanisa ambayo yalikuwa katika...
  4. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Upinzani tumechanganya sana Watu, tunahitaji kiongozi ambaye akisema neno anaaminika

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.” Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada...
  5. Heparin

    Wakili Mwabukusi: Aliyesababisha Binti wa Yombo Kubakwa na Kulawitiwa naye Afikishwe Mahakamani

    https://youtu.be/m9WGFYVzCvU Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi. Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
  6. Mwl.RCT

    Vuguvugu la elimu Katiba Mpya, wazee waweka ngumu

  7. F

    Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

    Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi. Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani. Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa...
  8. toplemon

    Watanzania tuanzishe vuguvugu la kuhusu mabando. Hali ni mbaya, tunaibiwa sana

    Nadhani tuje na mkakati wa kudai kushushwa kwa gharama za mabando maana hali ni mbaya sana. Tunaibiwa sana na haya makampuni ya simu. Vifurushi vya data vipo juu sana hali sio nzuri hata kidogo. Tutaendelea kunyanyasika hivi hadi lini ndani ya nchi yetu wenyewe? Tuje na mkakati hali ni mbaya
  9. Crocodiletooth

    Kila vuguvugu la kimkakati lilianzia katika vijiwe vya Kahawa, Zanzibar na Bara

    Hapo kitambo, vijiwe hivi tuvionavyo ndivyo vilivyokuwa vyanzo vya kila kila vuguvugu la kiharakati, mwl, JK harakati zake nyingi zilianzia katika vijiwe hivi hata karume wa Zanzibar vijiwe vya Kahawa ndivyo vilivyokuwa vikitoa dira na mpango mzima wa nini kifanyike nani aende wapi, yupi...
  10. MK254

    Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

    Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
  11. Chagu wa Malunde

    CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

    Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote. Kwanini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe, waalimu, wakulima na wavuvi...
  12. J

    Abdulla Ali Mwinyi: Ninagombea nafasi ya Naibu Spika, tuziache mamlaka husika zitimize taratibu kisha Wabunge wapige kura

    Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha. Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga...
  13. T

    Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA. Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA...
  14. Idugunde

    Within a fraction of a minute, amani ya taifa letu ilirejeshwa baada ya vuguvugu la CHADEMA kuzimwa

    Taifa makini hutumia cohesive apparutus inavyotakiwa. Ndio maana ya kuwa na vyombo vya usalama makini. Panapotokea fununu ya kuvunja amani ya nchi. Basi vinaitervene kwa umakini na kudhibiti wanaotaka kuleta vurugu. Yapata wiki tatu sasa hali ni shwari kabisa iwe kimawazo hata kimatendo. Kama...
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Serikali, tumieni mbinu hizi ili kukabiliana na vuguvugu la Katiba nchini

    Maji yakimwagika hayazoleki! Katiba iliyopo mliiona ni mbovu wenyewe mkaanzisha mchakato wa katiba mpya wenyewe!Wala sio Mbowe wala Lisu wala Upinzani nchini! Kuendelea kutumia jeshi la polisi kuzuia hiki mlichokianzisha wenyewe ni kujiua wenyewe kisiasa na kupoteza uhalali wa serikali yenu...
Back
Top Bottom