vunja bei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Video: Baba Levo amsisitiza Vunja bei aache uoga akagombee ubunge 2025

    Wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM msanii maarufu Baba Levo akiwa na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Fred Vunjabei Babalevo amemtaka mfanyabiashara huyo kuacha uoga kutaka kugombea kiti cha ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2025.
  2. B

    Pichani: Halima Vunja bei alivyoshinda kwa K.O

    HALIMA VUNJABE Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Halima Ramadhan Vunjabei ameshinda pambano lake kwa Knock Out ya raundi ya tatu dhidi ya bondia Songul Ayten lililiofanyika usiku wa novemba 23, 2024 mjini Munich nchini Ujerumani. Halima Vunjabei anakuwa bondia wa kwanza mwanamke kushinda kwa...
  3. themagnificient

    Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Juzi kuna memba aliweka uzi kuwashirikisha wanajukwaa kuwa Vunjabei anahisi kama anaenda kufilisika ila hakuwa na uhakika yote ni sababu ameona maduka yake kama yanapumulia Gesi na mengine kufungwa mikoani huko wengine wanadai hadi zile plate no za majina ameondoa kuepuka Garama uchumi...
  4. MOSintel Inc

    Vunja bei: Nauza mafuta ya alizeti katika ujazo wa lita 5 kwa bei sawa na bure

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- : * Mafuta ni masafi * Hayana harufu, * Sio ya kuchemsha na * Si machungu * Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  5. William Mshumbusi

    Kumbe vunja Bei kapigwa kitu kizito mno. Nimeona igenda amevaa jezi mpya ya Simba ikiwa na nembo ya VB akijitambulisha lkn inazibwazibwa

    Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke. Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
  6. GENTAMYCINE

    Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

    Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu. Kuna Mambo ya ndani...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Vunja Bei anaunga-unga, Simba msimpe mkataba

    Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda...
  8. CM 1774858

    UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  9. Kurunzi

    Vunja Bei adai kupata hasara ya zaidi ya Tsh Milioni 300 Jezi za Simba

    WAKATI wanachama na mashabiki wa Simba wakianza kusahau machungu ya pilikapilika za kugombea jezi mpya za klabu hiyo, mwenye dili na uzi za Simba, Fred Ngajiro ‘Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua hasara ya kupoteza Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Vunjabei alisema hasara hiyo imetokana...
  10. N

    Video: Shabiki wa Simba achoma moto jezi zote, pole Vunja Bei vichaa wameharibu sana

    Sisi ni mashahidi tu acha tuitwe majina ya kila aina maana hata tukipiga kelele mazoezi ya Bunju yasiwe ya wazi tunaitwa washamba. Narudia tena hiyo october wakati simba anafumuliwa 4-0 na yanga patatokea vurugu kubwa sana hapo taifa kubwa mno kiasi kwamba viongozi wa simba na wachezaji...
  11. OleWako

    Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

    Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga. Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
  12. Orketeemi

    Je, Vunja Bei na Mo wamejitoa Simba?

    Habari. Katika press ya Leo ya kumtambulisha kocha mpya wa Klabu ya Simba hapakuwepo na matangazo ya Mo Dewji ,Sport Pesa wala Vunja bei. Napata Shaka na hii timu kwamba imepoteza wadhamin wake?
  13. Najaf

    Vunja bei yangu

    Nina vifaa vimebaki hapa wadau 1. Fiber Moja Kwa shs 3500 TU za Andika. Zimebaki nne. 2. Msasa Mita 1500 TU. 3. Brush mbili Kwa 3000 TU. 4. Gypsum powder BBG mfuko mmoja Kwa 13000 TU. 5. nipples 5 Kwa 3000 TU. Karibu tuongee,,,
  14. C

    Simba na Vunja Bei wanamuogopa Manara kumbe GSM anatengeneza jezi za Simba

    Ukisikia aibu ni hizi kumbe kutwa nzima tunaiponda GSM na Manara anatucheka tu kimyakimya , wanasimba kwa pamoja tuwaombe radhi Gsm kwa mujibu wa clip ya manara instagram ni kwamba GSM ndiyo wanaotengeza jezi za simba hiyo ni baada ya kuonekana kilichoitwa jezi feki za simba Ukiamini kwamba ni...
  15. B

    Haji Manara na fred Vunja Bei wanavyoathirika siasa za viwanjani Yanga na Simba

    Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa. Wapo watu wanaishi vizuri kwa mwonekano wa nje lakini si kwa mwonekano wa ndani. Chama kinatafuta...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

    Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano. Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza jezi mpya za Simba 🦁 sokoni ndani ya masaa 8 jumla ya jezi 42,000 zilikuwa zimeshauzwa na mawakala...
Back
Top Bottom