Central Kilimanjaro, or Central Chaga, is a Bantu language of Tanzania spoken by the Chaga people.
There are several dialects:
Moshi (Old Moshi, Mochi, Kimochi)
Uru
Mbokomu
Wuunjo (Wunjo, Vunjo, Kivunjo), including Kiruwa, Kilema, Mamba, Moramu (Marangu), MwikaMoshi is the language of the Chaga cultural capital, Moshi, and the prestige dialect of the Chaga languages.
Jimbo la Vunjo ni kati ya majimbo 100 nchini ambayo yamenufaika na mradi wa ujenzi wa shule mpya za sekondari Mafunzo ya Amali Uhandisi, ili kuwawezesha Vijana kupata ujuzi na kuwa mahiri. Kwa Jimbo la Vunjo shule hii inaendelea na ujenzi katika kijiji cha Koresa kata ya Kirua Vunjo Kusini kwa...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Urais mwaka 2025 joto kumeanza kuchangamka maeneo mbalimbali ya Nchi kwa watu wenye nia ya kujitosa kwenye udiwani au ubunge kuanza kupitapita.
Moja kati ya maeneo yanayoshuhudia vikumbo vya wenye nia ya ubunge ni Jimbo la Vunjo ambako moja kati ya...
Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambaye pia ni Katibu wa ACT WAZALENDO katika Jimbo hilo Ndg Idd Mfinanga...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwa imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vifaa vya uchunguzi na vifaa tiba katika kuboresha huduma kwenye vituo vya kutolea huduma...
Mzozo mkubwa umeibuka katika kituo bubu cha uandikishaji wapiga kura huko Vunjo, Kilimanjaro ambapo madai ya uandikishaji holela wapiga kura yameibua hasira na maswali mengi miongoni mwa wananchi wema.
Pia, Soma:
Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika operesheni ya siku 21 ya kukijenga chama hicho kanda ya Kaskazini inayoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Ndugu Freeman Mbowe imekutana na mahudhurio hafifu sana Jimbo la Vunjo, Moshi DC mkoani Kilimanjaro.
Hali hiyo imepelekea Mwenyekiti wa...
..ni mahojiano na Dar24.
Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere. Wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana ovyo ovyo wamekuwa wengi sana...
1. Ku address issue nzito kama hii ya magendo, ulevi, dawa za kelevya (narcotics) kwenye Bunge inahitaji umahili wa hali ya juu sio kutoa tu statements na kusema huu ni ukweli.
Hapo Dr Kimei alitakiwa atoe matamshi yake kama "facts" zenye supporting data, yaani "facts and figures". Yeye kama...
Na Mwandishi Wetu
Vunjo.
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru klabu ya Rotary ya Mwika kwa kujenga kivuko cha Koongo-Saghai kinachounganisha kata za Mwika Kusini na Mwika Kaskazini.
Ujenzi wa kivuko hicho umegharimu shilingi milioni 10.5 fedha zilizotolewa na...
Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kata husika zinafanya...
Alipoitoa crdb mpaka alipoifikisha mpaka anastaafu ni rekodi safi kabisa msifanye makosa hapa alikuwa anafafanua ni jinsi gani atawasaidia kuanzisha kiwanda cha kusindika ndizi ukizingatia zao hili ni zao lenye kuharibika mapema.
TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo.
Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema
Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya kumuombea kura, Mrema amewaambia watu wa Himo na Vunjo kuwa kura zote kwa Rais Dk. John Pombe...
Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama.
Kinyang'anyiro hiki ambacho...
Septemba 19, 2020 Viwanja vya Polisi Himo, Moshi mkoani Kilimanjaro viliwaka moto huku ikishuhudiwa maelfu ya wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi na wakaazi wa jimbo la Vunjo kutoka kila kona ya Moshi wakimiminika kwenye viwanja hivyo kumlaki na kumsindikiza mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Mgombea...
NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima
#DON NALIMISON
Simu Na. 0682 94 29 01.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.