vurugu mkutano wa bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Vurugu mkutano wa BAVICHA, Waandishi wafukuzwa tena katika ukumbi wa Uchaguzi

    Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam (leo, Jumanne ya Januari 14.2024) vurugu zimeshuhudiwa tena kati ya wanahabari na baadhi ya vijana wa BAVICHA ambao wamepinga wanahabari kuwepo kwenye ukumbi wa uchaguzi, wanahabari waliingia ukumbini hapo baada ya kuruhusiwa na msimamizi wa uchaguzi huo...
Back
Top Bottom