Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa ametangaza hadharani huko kwao Ruangwa kwamba kwenye Jimbo hilo Rais Samia atashinda Uchaguzi kwa 100%, hapa anazungumzia uchaguzi wa 2025, hata hivyo hakuna kikao chochote ambacho CCM ilikaa kuteua Mgombea Urais wala hakuna mahali popote ambapo Tume...